Wednesday 10 February 2010

Short history about Professor Wangari Maathai

Wangari Maathai ni mwaraharakiti wa masuala ya haki za wanawake, mbunge, mwanzilishi wa The Green Belt Movements na pia ni mshindi wa tunzo ya Nobel ya mwaka 2004 katika suala zima la mazingira.

Wangari Muta Maathai alizaliwa mwaka 1940 huko Nyeri nchini Kenya, ambapo amepitia harakati mbalimbali mpaka hapa alipo hivi sasa.

Profesa Maathai alimaliza masomo yake ya udaktari huko nchini Ujerumani, ambapo alitunukiwa PhD. Mwanamama huyu alifanikiwa kuwa mwanamke wa kwanza kushika nyadhifa mbalimbali katika bara la afrika, ikiwemo ya mwenyekiti wa idara ya Veterinary Anatomy and an associate professor in 1976 and 1977 respectively.

Hizi ni miongoni mwa tunzzo mbalimbali alizofanikiwa kuzipata profesa Wangari kwa miaka tofauti kama inavyoonekana hapa.

2008, Royal Institute of British Acrchitects, Honorary Fellowship (2007)
Nelson Mandela Award for Health and Human Rights (2007)
Jawarhalal Nehru Award (2007)
World Citizenship Award (2006)
The Disney Conservation Fund Award (2006)
Paul Harris Fellowship (2005)
The Sophie Prize (2004)
The Petra Kelly Prize (2004)
The Conservation Scientist Award (2004)
The J. Sterling Morton Award (2004)
The WANGO Environment Award (2003)
Outstanding Vision and Commitment Award (2002)
The Excellence Award from the Kenyan Community Abroad (2001)
The Juliet Hollister Award (2001)
The Golden Ark Award (1994)
The Jane Addams Leadership Award (1993)
The Edinburgh Medal (1993)
The Hunger Project’s Africa Prize for Leadership (1991)
The Goldman Environmental Prize (1991)
Women of the World Award (1989)
The Windstar Award for the Environment (1988)
The Better World Society Award (1986)
The Right Livelihood Award (1984)
The Woman of the Year Award (1983)

No comments:

Post a Comment